1. Skip to Menu
  2. Skip to Content
  3. Skip to Footer

News & Events

WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2014, AWAMU YA PILI

KOZI YA AWALI (ORIENTATION COURSE) ITAANZA SIKU YA JUMATATU YA NOVEMBA 18, 2013; SAA 1.30 ASUBUHI. KOZI HII ITAENDELEA KWA MUDA WA MWEZI MMOJA HADI DES 20, 2013

1. FIKA OFISI YA TAALUMA CHUMBA NAMBA 214 KUANZIA TAREHE 21–10-2013 KUPATA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE (JOINING INSTRUCTIONS). FIKA KATI YA SAA 2.00 ASUBUHI NA SAA 10.00 JIONI (SIKU ZA KAZI TU).

2. SHULE IMETOA MUDA WA TAKRIBANI MAJUMA MATATU KUANZIA OKTOBA 21 HADI NOVEMBA 15, 2013; KUJA KUCHUKUA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE (JOINING INSTRUCTIONS) NA KULIPA ADA (KARO).

3. BAADA YA TAREHE 15 NOVEMBA 2013, UTATAKIWA KUWASILIANA KWANZA NA MKUU WA SHULE KABLA YA KUFANYA MALIPO YOYOTE.

BOFYA LINK HAPO CHINI

- WAFUATAO WAMECHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA I - 2014 [AWAMU YA PILI]

Who's Online

We have 4 guests and no members online